Ayana 𝟏9th Jan Written Updates

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟏
Chris hata hakua ametoka,lawyer wake alikuja,akamwambia client, by date 27th January kama hutakua umelipa madeni za wenyewe,nyumba na gari zako zitaenda..hata before amalize kufikiria,Jmeimah akafika akiwa amejam sana,akamwambia Chris we need to talk now..

Jemimah akauliza Chris,mbona ulienda kutandika Ray? Chris akacheka tu,akamwambia so ni chali yako anakupea wasiwasi hivi? Nilimlima vibaya sana. Jemimah akamuuliza,mbona hukudeal na mimi,ukaenda kwa yeye? Chris akamwambia na bado,mkiendelea tena mtaona matokeo.

Enyewe Robert hataki kukubali kuachwa 🀣aliambia Annaliza please nipe tu dakika nikuongeleshe nakupenda please lakini Annaliza aliambia Robert sikiza, this hospital is not your stage so kama hutaki kutoka acha nikuitie security 🀣🀣🀣

Jemimah aliambia Chris,Ray si boyfriend wangu,he is just a friend lakini Chris akamwambia sitakaa hapa nikiangalia tu marriage yangu ikianguka na ninyamaze. Jemimah akacheka,akamuuliza which marriage 🀣🀣marriage yenye mwenyewe ulimaliza ukilala na Celestine? Chris akamwambia na uache kunifanyie madharau wewe mwanamke. Jemimah,akamsongea Chris na akamguza kidole kwa kifua akamwambia sasa sikiza, never,ever lay a hand on Ray again…or ele,you will deal with me. Ushawai pewa warning ukiguzwa guzwa kidole kwa kifua 🀣🀣🀣

Tyrone wakienda nyumbani, Sabina alianza kumcall Tinah,but Tinah haezi shika,ju atachoma.

Saida na yeye alikuja akauliza Flora kama ashanunua kila kitu. Flora akasema yeah,akaulizwa na jikoni,ni safi? Flora akajikosea akasema “si nimesema yeee” 🀣🀣🀣Saida alimwambia sikiza, mimi si vinyangarika umezoeana nazo,nitakutifua mimi.alah.

READ Also  Why President Ruto has Sent All His PSs To Counties Today

Sabina baada ya kuona Tinah hashiki simu,alicall Flora,akamwambia do me a favour,ambia Tinah nataka kuongea na yeye urgently. Flora akamwambia sawa sawa boss.

Tinah ndio wanafika na already Saida ashaandaa chakula kizuri kitamu sana lakini Tinah alitaka kuenda tu kulala,anasema anataka tu kupumzika.

Asha pia yuko pale hata ndioo anapigiwa simu na Ray,akamuuliza babe mbona hupatikani kwa simu nakupigia hushiki? Asha akamwambia nimekua hosi..Ray akamuuliza na mbona pia mamako hashiki simu zangu? Asha akamwambia sasa mamangu kutoshika simu zangu inanihusu na nini? Ray akamwambia wee na wewe usiongee ujinga sawa..nataka turudiane venye tulikua before. Asha was soo straight,akaambia Ray,hiyo haiezi,wee endelea na maisha yako,mimi nina maisha yangu. Ray akamwambia but niliwasaidia kulipa lawyer babako akatoka? Asha akamwambia but nilikuambia asante. Ray akasema apana,,asante tu haitoshi,yafa turudiane venye tulikua na hivyo ndio tulielewana na mamako. Asha akamwambia mimi hapo siingilii plans zako na mamangu for me kitu naeza kupea tu ni asante. Sikiza, Saida alimake deal na Ray,awaibie pesa walipe billa kisha Ray na Asha warudiane lakini makosa ni Asha hakuwa kwa huu mpango na makosa ni Ray anataka Asha ama kaumane. Ungekua wewe Asha ungefanyaje?

READ Also  Iran Warns It Is Ready to Return to War if Talks With U.S. Collapse

π„ππˆπ’πŽπƒπ„ 𝟐
Ray akiwa matembezi zake, alikutana na Chris tena akamuuliza buda si ulinipiga jana ikaisha shida ni nini tena? Chris akamwambia niliona uliambia bibi yangu nilikupiga so bado mnaongea? Ray akamwambia ni yeye alikuja kwangu,si kumwambi akuje. Chris akamwambia uchunge sasa next time nitakuvunja mguu sasa.

Tyrone alikuja kwa room ya Tinah wakaongea kiasi wakikumbushana venye ilibaki kidogo tu Tyrone aekwe ndani. Tinah akamwambia hakuna venye ningealllow uekwe ndani dad.

Robert alikuja kwa Jemimah. Jemimah akamuliza si nilikuambia sitaki kukuona kwangu? Robert akamwambia please siz, najua nilikukoea, but please niko kwa shida,I have nobody to talk to,nisikize tu…Jemimah akamwambia now sikiza,unaona venye uliangalia nikiteseka,its the same way nakuangalia so toka kwangu. Robert akatoka akiwa amenyenyekea sana kwa huzuni,lakini Jemimah akaona hii mtu ni kibro changu,akamuita akamwambia haya,panguza makamasi basi, come siezi kuacha uteseke kibro,iam your only sister and we either be happy together,or suffer together.

Huh! Flora aliletea Tinah simu akamwambia ni mamako anataka kuongea na wewe..Tinah akaambia Flora sikiza, sitaki kuongea na huyo mama,na wewe pia kama unataka kuendelea kufanya kazi hapa,number yake block usiwai ongea na yeye tena,sawa! Flora akamwambia sawa madam 🀣🀣🀣

READ Also  Do You Wonder Why Huyu Officer Amefika kutoka Haiti Looks Like He Is Wearing 2 Watches? Now Let Me Tell You Why

Robert alikaribishwa kwa Jemimah,hajui aanzie wapi.

Kwa Tyrone leo ni sherehe. Tyrone alimshukuru sana Saida kwa kusimama na wao na hata Annaliza pia,ashaalikwa na akapewa shukrani sana kwa kusimama na wao wakati wa magumu. Alafu cheki venye Tyrone anamuangalia Annaliz 🀣🀣lakini punde si punde,kama hawajaanza kukula,kuna mtu alibisha…nani huyo? Ray…

Tyrone alikuja kuangalia ni nani,wacha apate ni Ray,akamuuliza, unafanya nini kwangu? Ray akaambia Tyrone sijakuja kwa ubaya..Tyrone akamuuliza umekuja kufanya nini sasa? Saida alisikia kelele akakuja akauliza Ray unafanya nini hapa? Ray akamwambia nimekuja kuongea na wewe. Tyrone akashindwa, Ray na Saida wana nini cha kuongea. Saida akaambia Tyrone acha niongee na yeye nijue anataka nini…Tyrone akasema basi mnaongelea hapa hapa nisikie. Saida akaambia Tyrone,si kwa ubaya lakini ni Ray ndio alitusaidia pesa zenye tulilipa lawyer. Tyrone akauliza Ray,unataka how much? Ni pesa ngapi ulipeana nirudishe sai.. Huh! Sijui Tyrone atafeel aje akijua,Ray si pesa anataka,Ray ni Asha anataka 🀣🀣🀣but hiyo part itabidi tuone on Monday.

  • Related Posts

    Update: President Ruto Mourns

    “It is with profound sorrow that I extend my heartfelt condolences following the passing of His Highness the Father Amir, Sheikh Hamad bin Khalifa Al Thani, father of His Highness…

    Maseno University, Set To Admit A Record 9,196 Students

    The Giant of Kenya, Maseno University, is set to admit a record 9,196 students this September! As things stand, it is the only university we know that is expected to…

    You Missed

    Update: President Ruto Mourns

    • By Milton
    • July 14, 2026
    • 0 views
    Update: President Ruto Mourns

    Maseno University, Set To Admit A Record 9,196 Students

    • By Milton
    • July 9, 2026
    • 2 views
    Maseno University, Set To Admit A Record 9,196 Students

    James Orengo’s Tribute Mzee Julius Maina Kago

    • By Milton
    • July 9, 2026
    • 2 views
    James Orengo’s Tribute Mzee Julius Maina Kago

    Good News To Teachers

    • By Milton
    • July 9, 2026
    • 2 views
    Good News To Teachers

    Football Titbits Across The Papers

    • By Milton
    • July 9, 2026
    • 2 views
    Football Titbits Across The Papers

    U.S. Strike Reported at Chabahar Port

    • By Milton
    • July 9, 2026
    • 3 views
    U.S. Strike Reported at Chabahar Port