Ayana ๐Ÿ9th Jan Written Updates

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Chris hata hakua ametoka,lawyer wake alikuja,akamwambia client, by date 27th January kama hutakua umelipa madeni za wenyewe,nyumba na gari zako zitaenda..hata before amalize kufikiria,Jmeimah akafika akiwa amejam sana,akamwambia Chris we need to talk now..

Jemimah akauliza Chris,mbona ulienda kutandika Ray? Chris akacheka tu,akamwambia so ni chali yako anakupea wasiwasi hivi? Nilimlima vibaya sana. Jemimah akamuuliza,mbona hukudeal na mimi,ukaenda kwa yeye? Chris akamwambia na bado,mkiendelea tena mtaona matokeo.

Enyewe Robert hataki kukubali kuachwa ๐Ÿคฃaliambia Annaliza please nipe tu dakika nikuongeleshe nakupenda please lakini Annaliza aliambia Robert sikiza, this hospital is not your stage so kama hutaki kutoka acha nikuitie security ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Jemimah aliambia Chris,Ray si boyfriend wangu,he is just a friend lakini Chris akamwambia sitakaa hapa nikiangalia tu marriage yangu ikianguka na ninyamaze. Jemimah akacheka,akamuuliza which marriage ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmarriage yenye mwenyewe ulimaliza ukilala na Celestine? Chris akamwambia na uache kunifanyie madharau wewe mwanamke. Jemimah,akamsongea Chris na akamguza kidole kwa kifua akamwambia sasa sikiza, never,ever lay a hand on Ray againโ€ฆor ele,you will deal with me. Ushawai pewa warning ukiguzwa guzwa kidole kwa kifua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tyrone wakienda nyumbani, Sabina alianza kumcall Tinah,but Tinah haezi shika,ju atachoma.

Saida na yeye alikuja akauliza Flora kama ashanunua kila kitu. Flora akasema yeah,akaulizwa na jikoni,ni safi? Flora akajikosea akasema “si nimesema yeee” ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃSaida alimwambia sikiza, mimi si vinyangarika umezoeana nazo,nitakutifua mimi.alah.

READ Also  Confusion In ODM As Alego Usonga MP Says The Following

Sabina baada ya kuona Tinah hashiki simu,alicall Flora,akamwambia do me a favour,ambia Tinah nataka kuongea na yeye urgently. Flora akamwambia sawa sawa boss.

Tinah ndio wanafika na already Saida ashaandaa chakula kizuri kitamu sana lakini Tinah alitaka kuenda tu kulala,anasema anataka tu kupumzika.

Asha pia yuko pale hata ndioo anapigiwa simu na Ray,akamuuliza babe mbona hupatikani kwa simu nakupigia hushiki? Asha akamwambia nimekua hosi..Ray akamuuliza na mbona pia mamako hashiki simu zangu? Asha akamwambia sasa mamangu kutoshika simu zangu inanihusu na nini? Ray akamwambia wee na wewe usiongee ujinga sawa..nataka turudiane venye tulikua before. Asha was soo straight,akaambia Ray,hiyo haiezi,wee endelea na maisha yako,mimi nina maisha yangu. Ray akamwambia but niliwasaidia kulipa lawyer babako akatoka? Asha akamwambia but nilikuambia asante. Ray akasema apana,,asante tu haitoshi,yafa turudiane venye tulikua na hivyo ndio tulielewana na mamako. Asha akamwambia mimi hapo siingilii plans zako na mamangu for me kitu naeza kupea tu ni asante. Sikiza, Saida alimake deal na Ray,awaibie pesa walipe billa kisha Ray na Asha warudiane lakini makosa ni Asha hakuwa kwa huu mpango na makosa ni Ray anataka Asha ama kaumane. Ungekua wewe Asha ungefanyaje?

READ Also  If Youโ€™re Arsenal, These Are The Games That Are Going To Win You The League

๐„๐๐ˆ๐’๐Ž๐ƒ๐„ ๐Ÿ
Ray akiwa matembezi zake, alikutana na Chris tena akamuuliza buda si ulinipiga jana ikaisha shida ni nini tena? Chris akamwambia niliona uliambia bibi yangu nilikupiga so bado mnaongea? Ray akamwambia ni yeye alikuja kwangu,si kumwambi akuje. Chris akamwambia uchunge sasa next time nitakuvunja mguu sasa.

Tyrone alikuja kwa room ya Tinah wakaongea kiasi wakikumbushana venye ilibaki kidogo tu Tyrone aekwe ndani. Tinah akamwambia hakuna venye ningealllow uekwe ndani dad.

Robert alikuja kwa Jemimah. Jemimah akamuliza si nilikuambia sitaki kukuona kwangu? Robert akamwambia please siz, najua nilikukoea, but please niko kwa shida,I have nobody to talk to,nisikize tuโ€ฆJemimah akamwambia now sikiza,unaona venye uliangalia nikiteseka,its the same way nakuangalia so toka kwangu. Robert akatoka akiwa amenyenyekea sana kwa huzuni,lakini Jemimah akaona hii mtu ni kibro changu,akamuita akamwambia haya,panguza makamasi basi, come siezi kuacha uteseke kibro,iam your only sister and we either be happy together,or suffer together.

Huh! Flora aliletea Tinah simu akamwambia ni mamako anataka kuongea na wewe..Tinah akaambia Flora sikiza, sitaki kuongea na huyo mama,na wewe pia kama unataka kuendelea kufanya kazi hapa,number yake block usiwai ongea na yeye tena,sawa! Flora akamwambia sawa madam ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

READ Also  Sad Photos Of 14 Bodies From One Family Being Escorted By 14 Hearses

Robert alikaribishwa kwa Jemimah,hajui aanzie wapi.

Kwa Tyrone leo ni sherehe. Tyrone alimshukuru sana Saida kwa kusimama na wao na hata Annaliza pia,ashaalikwa na akapewa shukrani sana kwa kusimama na wao wakati wa magumu. Alafu cheki venye Tyrone anamuangalia Annaliz ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃlakini punde si punde,kama hawajaanza kukula,kuna mtu alibishaโ€ฆnani huyo? Rayโ€ฆ

Tyrone alikuja kuangalia ni nani,wacha apate ni Ray,akamuuliza, unafanya nini kwangu? Ray akaambia Tyrone sijakuja kwa ubaya..Tyrone akamuuliza umekuja kufanya nini sasa? Saida alisikia kelele akakuja akauliza Ray unafanya nini hapa? Ray akamwambia nimekuja kuongea na wewe. Tyrone akashindwa, Ray na Saida wana nini cha kuongea. Saida akaambia Tyrone acha niongee na yeye nijue anataka niniโ€ฆTyrone akasema basi mnaongelea hapa hapa nisikie. Saida akaambia Tyrone,si kwa ubaya lakini ni Ray ndio alitusaidia pesa zenye tulilipa lawyer. Tyrone akauliza Ray,unataka how much? Ni pesa ngapi ulipeana nirudishe sai.. Huh! Sijui Tyrone atafeel aje akijua,Ray si pesa anataka,Ray ni Asha anataka ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃbut hiyo part itabidi tuone on Monday.

  • Related Posts

    How To Be Confident In Front Of Women

    1.You stop seeking her approval the second you open your mouth. You talk and move like you already know sheโ€™s lucky to be in your presence. 2.You keep strong eye…

    Here Is The Good News To All Kenyans

    Treasury CS John Mbadi says Kenya has 16 days’ worth of petrol stocks, 19 days for diesel, and 48 days for kerosene, urging motorists to avoid panic buying. Mbadi says…

    You Missed

    How To Be Confident In Front Of Women

    • By Milton
    • April 2, 2026
    • 2 views
    How To Be Confident In Front Of Women

    Here Is The Good News To All Kenyans

    • By Milton
    • April 2, 2026
    • 3 views
    Here Is The Good News To All Kenyans

    Football Titbits Across The Papers

    • By Milton
    • April 2, 2026
    • 3 views
    Football Titbits Across The Papers

    Football Titbits Across The Papers

    • By Milton
    • April 2, 2026
    • 6 views
    Football Titbits Across The Papers

    Here Is How Formal Workers In Kenya Earn According To KNBS Data

    • By Milton
    • April 2, 2026
    • 6 views
    Here Is How Formal Workers In Kenya Earn According To KNBS Data

    BREAKING: Hundreds Of Trucks Stranded At Malaba Border

    • By Milton
    • March 31, 2026
    • 4 views
    BREAKING: Hundreds Of Trucks Stranded At Malaba Border