Tujifunze Kiswahili

TUJIFUNZE KISWAHILI:

TUJIFUNZE KISWAHILI:

  1. Board of management – halmashauri.
  2. Institute (learning institution) – taasisi.
  3. Institution – asasi.
  4. Founder – mwanzilishi.
  5. Pioneer – mwasisi.
  6. Kuanzisha kitu fulani – asisi.
  7. Resource – rasilmali.
  8. Natural resources – mali asili.
  9. Raw materials – malighafi.
  10. Masumbufu ya rohoni/mfadhaiko – jakamoyo.
  11. Scarf – kilemba.
  12. Comb (of a bird) -undu.
  13. Footpath – kichochoro/uchochoro.
  14. Coastal strip – ushoroba wa pwani.
  15. College – chuo cha kadri.
  16. University – chuo kikuu.
  17. Technical institute – taasisi ya ufunzi.
  18. Polytechnic – chuo anuwai/chuo cha kiufundi.
  19. Mtoto wa bata – kiyoyo.
  20. Capitalism – ubepari.
  21. Kumiliki mali kwa minajili yako – ubepari.
  22. Hustler – msakatonge/msakaji.
  23. Very poor person – fukara/mlalahoi/hohe hahe.
  24. Socks – nyong’inyo.
  25. Fossil fuel – mafuta ya visukuku.
  26. Fossil – kisukuku.
  27. Subsidy – ruzuku.
  28. Sustainability – uendelevu.
  29. Hali ya kubishana – lumba.
  30. Oratory skills – ulumbi.
  31. Somebody with good oratory skills – mlumbi.
  32. Mtu anayejifanya anajua jambo ilhali hajui – baramaki.
  33. Fursa au nafasi finyu – tarakiki.
  34. Uchambuzi wa kitaalamu wa maandishi – tahakiki.
  35. Kukinga au kuzuia mtu au kitu kuathirika au kudhurika – gadimia.
  36. Chakula kipikwacho kwa majani ya mhogo – mtoriro.
  37. Loquat tree – msambia.
  38. Loquat fruit – sambia.
  39. Tap fingers – piga kipwe/piga kifoli.
  40. Bembeleza mtu kwa unyenyekevu – rai.
  41. Kuingiza mwenzio chakula kinywani – rai.
  42. Toa hoja kwa mjadala – rai.
  43. Kuwa na siha njema – rai.
  44. Addict (noun) – kingwagu.
  45. Female virgin – batuli/bikira.
  46. Revoke/nullify – batili.
  47. Raincoat – umbopa.
  48. Lazimisha mtu atende jambo bila hiari yake – kahiri.
  49. Sugua ngozi kwa nguvu hadi iwe na mchimbuko – kunyua.
  50. Widow – mjane.
  51. Widower – mjane
  52. Elephantiasis – matende.
  • MUNENE NYAGAH na NUHU ZUBERI BAKARI.
READ Also  RIP: Meet Linner Sang, A Teacher Who Was Tragically Murdered In UK

Related Posts

Crackdown On Narcotics

Acting on intelligence, a multi-agency security team conducted a swift operation in Diani that led to the arrest of a trafficker and the recovery of narcotics. Detectives first recovered two…

BREAKING: U.S. Seizes Russian-Flagged Oil Tanker In International Waters, Moscow Warns Of Dangerous Escalation

The United States has announced the seizure of a Russian-flagged oil tanker in the North Atlantic after days of pursuit by the U.S. Coast Guard, citing sanctions enforcement linked to…

You Missed

Crackdown On Narcotics

  • By Milton
  • January 9, 2026
  • 3 views
Crackdown On Narcotics

BREAKING: U.S. Seizes Russian-Flagged Oil Tanker In International Waters, Moscow Warns Of Dangerous Escalation

  • By Milton
  • January 9, 2026
  • 6 views
BREAKING: U.S. Seizes Russian-Flagged Oil Tanker In International Waters, Moscow Warns Of Dangerous Escalation

How To Avoid Financial Stress In 2026

  • By Milton
  • January 8, 2026
  • 3 views
How To Avoid Financial Stress In 2026

How Odinga Family Marked Raila’s Birthday

  • By Milton
  • January 7, 2026
  • 5 views
How Odinga Family Marked Raila’s Birthday

Update: Semenyo To Manchester City

  • By Milton
  • January 7, 2026
  • 7 views
Update: Semenyo To Manchester City

Update: Relief To Edwin Sifuna After ODM Expelled Their Motion

  • By Milton
  • January 6, 2026
  • 8 views
Update: Relief To Edwin Sifuna After ODM Expelled Their Motion