Inadaiwa kwamba Marcus Thuram alichunguzwa baada ya kuonekana akicheka Inter Milan walipofungwa bao la 4 kwenye derby dhidi ya Juventus.
Thuram aliieleza bodi ya klabu hiyo kwamba yeye alisema maneno haya kwa kaka yake VAR ilipokuwa ikiendelea kuangalia kama kulikuwa na Foul kabla ya bao la Juventus : “Waambie umesababisha foul”
Inter walishawishika na kukosa kumchukulia hatua. Kaka yake alifunga walitegemea akasirike.






