Baada ya mtoto huyo kupigana na binti wa jirani. Lakini adhabu hiyo haikumfurahisha mwajiri wake badala ya kuzungumza naye kwa hekima kumuuliza ilikuwaje, alimvamia binti na kumvua nguo kabisa na kuanza kumtandika bakora,
Hata alipochukua shuka ajisitiri waliendelea kulazimisha kumvua ili fimbo ziingie vizuri.
Hii imetokea siku za nyuma, na hapo ni mama na mtoto wanamchangia binti,
Niambie maoni yako: Je, wewe huwa unafanya nini house girl wako akimpiga mwanao, na je unadhani adhabu hii alistahili kuipata huyu binti?






