Kifo Hakina Huruma

Aliyekuwa Afisa Mkuu wa Kilimo Cha Mifugo na Uvuvi Kaunti ya Kakamega Marehemu Bi Jessica Weku Wesonga aanza safari yake ya mwisho duniani.

Jessica alikuwa kiongozi katika Serikali ya Kaunti ya Kakamega na alikuwa mchapa kazi ,mchangamfu,mwenye maono mema na mshauri mwema.

Ibaada hii inaandaliwa leo katika uwanja wa Bukhungu Stadium -Kakamega kisha mwili wa mwendazake utasafirishwa hadi nyumbani kwake Matungu tayari kwa mazishi siku ya Jumamosi.

Mola atie nguvu Kakamega,Familia ,Ndugu ,Dada na marafiki wa marehemu Jessica Weku Wesonga.

Sema tu neno la mwisho kwa Marehemu Mama Jessica Wesonga .

READ Also  Ukraine Reveals Secret Kyiv Bunker on Warโ€™s 4th Anniversary

Related Posts

How To Be Confident In Front Of Women

1.You stop seeking her approval the second you open your mouth. You talk and move like you already know sheโ€™s lucky to be in your presence. 2.You keep strong eye…

Here Is The Good News To All Kenyans

Treasury CS John Mbadi says Kenya has 16 days’ worth of petrol stocks, 19 days for diesel, and 48 days for kerosene, urging motorists to avoid panic buying. Mbadi says…

You Missed

How To Be Confident In Front Of Women

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 2 views
How To Be Confident In Front Of Women

Here Is The Good News To All Kenyans

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 3 views
Here Is The Good News To All Kenyans

Football Titbits Across The Papers

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 3 views
Football Titbits Across The Papers

Football Titbits Across The Papers

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 6 views
Football Titbits Across The Papers

Here Is How Formal Workers In Kenya Earn According To KNBS Data

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 6 views
Here Is How Formal Workers In Kenya Earn According To KNBS Data

BREAKING: Hundreds Of Trucks Stranded At Malaba Border

  • By Milton
  • March 31, 2026
  • 4 views
BREAKING: Hundreds Of Trucks Stranded At Malaba Border