Waume Wa Aina Hii Ni Teso Kwa Wake Zao

WAUME WA AINA HII NI TESO KWA WAKE ZAO

  1. MNYANYASAJI – Hutafuta ufumbuzi wa matatizo kwa kupiga mke, kutukana matusi na kutoa vitisho.
  2. MVIVU – Hulala siku nzima, hana mipango yoyote na humtegemea mwanamke kutunza familia.
  3. MSALITI MBOBEVU – Haheshimu kabisa viapo vya ndoa. Muda wote yeye ni kukimbizana na wanawake.
  4. MZEMBE – Hatimizi wajibu wake. Hajali watoto, hajali mambo ya familia.
  5. MTOTO WA MAMA – Mama yake ndio hufanya maamuzi yote kila kitu hadi amuulize mama.
  6. MWENYE WIVU – Hufuatilia simu ya mke nyendo zake, marafiki zake na haishi kumtuhumu mke.kuwa ana wanaume.
  7. MRAIBU – Hutawaliwa na uraibu wa pombe, kamari au madawa ya kulevya na tabia hizo zinaharibu nyumba yake
  8. MWENYE KIBURI – Hata akosee haombi msamaha, anataka mke ndio anyenyekee na kuishi naye kama boss.
  9. MBAHILI – Pesa anayo lakini amejaa ubinafsi hawezi kutunza familia yake. Utakuta yeye anapendeza ila mke na watoto wanavaa midabwada.
  10. MSIRI – Yupo kwenye ndoa ila ana maisha yake ya siri. Hamshirikishi mke mipango yake, pesa zake wala maisha yake, anaishi kivyakevyake.
READ Also  He Used to Avoid Intimacy Completely, but Now He Canโ€™t Keep His Hands Off Me Every Night

Mwanamke mwenye mume wa aina hii aongeze maombi Mungu bado anaweza. Pia msiache kuhudhuria semina za ndoa zinasaidia sana.

Related Posts

How To Be Confident In Front Of Women

1.You stop seeking her approval the second you open your mouth. You talk and move like you already know sheโ€™s lucky to be in your presence. 2.You keep strong eye…

Here Is The Good News To All Kenyans

Treasury CS John Mbadi says Kenya has 16 days’ worth of petrol stocks, 19 days for diesel, and 48 days for kerosene, urging motorists to avoid panic buying. Mbadi says…

You Missed

How To Be Confident In Front Of Women

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 2 views
How To Be Confident In Front Of Women

Here Is The Good News To All Kenyans

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 3 views
Here Is The Good News To All Kenyans

Football Titbits Across The Papers

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 3 views
Football Titbits Across The Papers

Football Titbits Across The Papers

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 6 views
Football Titbits Across The Papers

Here Is How Formal Workers In Kenya Earn According To KNBS Data

  • By Milton
  • April 2, 2026
  • 6 views
Here Is How Formal Workers In Kenya Earn According To KNBS Data

BREAKING: Hundreds Of Trucks Stranded At Malaba Border

  • By Milton
  • March 31, 2026
  • 4 views
BREAKING: Hundreds Of Trucks Stranded At Malaba Border