“Mudavadi wewe ndio ulimaliza safari ya siasa ya Peter Soita Shitanda. Mudavadi wewe hukuhudhuria matanga ya Peter Soita Shitanda. Wetundu alikufa, supporter wako nambari moja, wewe hukuja kwa matanga yake. Steven Wambulwa, MCA wako alilala, wewe hukuja kwa matanga ya MCA. Una tamaa ya kujijenga pekee yako ndio mmoja wetu akifa unasherekea. Licha ya kuwa Mkuu wa Mawaziri, hujawasaidia watu wa Malava kupata maendeleo.
Kweli si kweli?






