“Young men in universities wanatumika vibaya sana. Wengine mnaitwa hubby,” financial consultant and content creator Llewellyn Ouya says, urges young men not to be used by ladies.
“Umezunguka ukitafutia dem hostel. Ikifika weekend, anakujiwa na boyfriend wake. HELB ikiingia, unapeleka dem kula kuku. HELB yako ikiisha, hizo ma ‘Hi’ zako don’t get replies.”
“Kama dem hayuko idhaa yako and you are not in a relationship, achana naye. Hauwezi kukatia dem for six months na anakuzungusha zungusha. Kama in two weeks unaona hii kitu haiwezi, wachana nayo. Focus na masomo,” he added.