“unajua vile huyo neiba anapenda kuleta wasichana Kwa nyumba”

0

JUST IMAGINE ?
Jana nikitoka tao nikaingia kwa hizi gari ndogo sijui inaitwa sienta ama ni shienta☺️Sasa vile gari imeondoka Kuna huyu mbaba alikuwa amekaa hapo mbele akaanza kuchapia ndere story ?eti “unajua vile huyo neiba anapenda kuleta wasichana Kwa nyumba ,so Jana walikutiliwa na bibi yake.

READ More  The Secrets Of Marrying The Lady You Love

Venye amefikia hapo Kwa “wamekutiliwa na bibi yake gari ikafika stage ya kwetu?mnajua hiyo uchungu na saa hiyo story haijaisha….juu huyo dere nilikuwa nimemwambia nashukia wapi akaniuliza”madam Kwani hushuki”?

Nikamjibu Wacha nishuke next stage na nikamwongeza fefte☺️gari ikaondoka nikangoja jamaa aendelee na story lakini wapi ? instead alitoa simu akapiga akaongea akaongeeeea akaongeeeeeeea hadi tukafika next stage? makosaaa ? hivyo ndivyo nilishuka na kutembea 3km juu sikuwa na pesa ya kupanda gari? next time aki tukiingia kwa gari moja malizia story?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *