THIS WILL SHOCK YOU ABOUT THE GUY MWENYE ALITOA THE BODIES HUKO KWARE
This guy alijitolea akatoa the bodies za wale watu walikua wameaga huko Kware and he was paid 5k though hakuomba ilikua tu kama appreciation but yeye alijitolea Tu.
Just 2 days after CEO Bonfire Adventures anamtafuta for a 3 day vacation huko coast na pia Eric Omondi anamchangia Maisha yake haitakua the same again. Hivi ndo baraka hukuja Hugs brother all the best ?. Ama kweli chanda chema huvikwa pete.Hugs brother