Nithi Bridge Accident Update After 11 People Died
Taarifa zinasema kuwa kulitokea ajali kwenye ajali na ndiyo sababu idadi ya watu walioaga inazidi kuongezeka.
Kwanza, hili gari lililokuwa na hawa wanaRongai, liligongana uso kwa uso na lori lililokuwa na maharagwe. Baadae, pickup ya Miraa, nayo ilifika na kupita kwenye ajali, pia ikaanguka, ikazidi kuua watu. Mwishowe, lori kubwa la maziwa pia lilianguka papo hapo na kuongeza idadi ya watu walioaga.
Ajali kwa ujumla ili-involve gari nne. Na mpaka sasa, watu kumi na wawili wameripotiwa kuaga huku wengine zaidi ya sita, wakiwa hospitalini wakipata matibabu ?