“Nikikuombea Uache Bangi, Ukitaka Kuacha Wacha. Kama Hutaki Kwenda Ukavute” Pastor Ng’ang’a Tells Worshippers

0

“Nikuombee halafu nikubembelezange, not me. Kama Mungu ako na wewe, atakutengenezea njia kule mbele,” preacher James Ng’ang’a says, claims most people pray and serve God while expecting success in return. “Ni mara ngapi umewahi kuja kuomba Mungu akusaidie kuokoa mtu mwingine? Mkija hapa ni kuombea tu mpate pesa.”

READ More  Ruto's Speech On Raila Odinga's AUC Bid

“Niliokokea kwa jela na mwenye aliniombea aliniwacha jela. Ati kila mtu nikimuomba lazima nimbebe kwa mgogo? Sitakubeba, na nikimaliza mlango inafungwa,” the preacher stated.

Photo: Sasa TV (Facebook)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *