HUYU ALIENDA SAUDI AKAANZA KUTUSI WATU TIKTOK

0

Naamkia Tiktok nakutana na story ya Emma from Kitui, amekua akifanya kazi outside the country, akafika huko akasahau aliendea kazi akaanza kutusiana tiktok. That’s how she was deported back to Kenya
It’s funny & sad at the same time…always remember your home and avoid things that doesn’t matter to you na shida ya deportation kurudi huko tena, balaaa.

READ More  FROM MOCKERY TO RICHES: THE STORY OF UGANDA'S TENGE TENGE

Linda kazi yako ✍️

Photo courtesy: Emma akiwa kazini na Emma akiwa waiting room airport akingoja clearance ndio aende Kirui kwao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *