“Askari Baada Ya Kutoka Maandamano” See What Crazy Kennar Did

0

After maandamano Crazy kennar went ahead kuunda a very learning and intellectual video,kwa video anaonyesha vile askari baada ya kutoka maandamano anafika kwa nyumba, kuenda kuwasha gas anapata imeisha, anaamua kuwasha moto na ile fimbo alikua anatumia huko kwa maandamano.

READ More  HUYU ALIENDA SAUDI AKAANZA KUTUSI WATU TIKTOK

Hapo anapika then kuenda kunawa hakuna maji, anatoa maji alieka wakati alikua kwa maandamano, hiyo ndo anatumia kunawa na hapo kumbuka ni coloured water then hata food amepika hashibi. Kidogo boss ambaye alimtuma anampigia simu, weeu ile food boss ameeka kwa meza ni miiingi, lakini kumbuka ile ya askari hata haitoshi. Boss anaambia huyu askari,”Good work kesho nataka mkaze kamba kabisa” na hapo yeye ako tu ni Raha.

READ More  "Nimeona uko na Wakristo wengi sana kwa kanisa lako hadi Wakisi" Embarambamba Tells Pastor Ng'ang'a

Askari analala hata habadilishi nguo, alafu mbu wanamsumbua hata hana usingizi. Weeu I wish Askari wange learn something from that but anyway guys weka like kama umejifunza kitu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *