“Sema Kimeumana” Fred Omondi’s Cousin Lands In Kenya From UK With This Warning To Ladies

0

😭FRED OMONDI BURIAL 😭

Mambo yameenda ndivyo sivyo!
Kwa mazishi ya mcheshi Fred Omondi, mambo yamegeuka ghafla baada ya cousins wake kutoka UK kufika nyumbani hii asubuhi.

Pichani,ni mmoja kati ya cousins na hapa anapeana onyo kwa wale wanawake wanataka kujitokeza kusema kuwa walizaa na Fred kabla hajafa.
Huyu dada anasema kuwa mtoto wa Fred anajulikana na hawa wanawake wanataka kuharibu jina la Fred, watakutana na moto mkubwa kwa kichapo cha mbwa.
Amesema kuwa hao watoto labda ni wa Obure 😅.

Ikumbukwe jana Terence ndiye alipeana an okay kwa wale wote wako na watoto wa Fred kujitokeza. Eric Omondi ambaye ni kakake marehemu Fred, pia alikubali ingawa alisisutiza kuwa hao watoto lazima wamfananae Fred bali sio sura kama za 2mbili na Mulamwah 😅😅

Kwa sasa shughuli ya Mazishi inaendelea poa. Haya ni yale yanafanyika kwa entrance

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *