“Huyo CS Ruku ako na kichwa Kubwa lakini haina akili. Imagine sasa Huyu Ruku alisema wakikuyu wafukuzwe Meru na Embu. Eti sasa amerudi anataka kusimama Governor ya Nairobi mahali wakikuyu wamejaa. Sasa wakikuyu Nairobi ni 800,000. Waembu ni 110,000 na wameru ni 80,000 hao wooote wanakugoja pale Nairobi utajua hujui”
~DCP leader Rigathi Gachagua takes swipe at CS Ruko after announcing that he has joined Nairobi Gubernatorial race





