Meshack Ojwang, the father of the late slain teacher Albert Ojwang, has lamented, saying, “Wakenya, haswa vijana wa Gen Z, nawaomba mnisaidie kama mlivyopaza sauti hadi dunia ikajua kuwa Albert ameuliwa.
Kuna mchezo naona unaendelea hapa. Wanasema kesi haiwezi kuendelea bila CCTV footage, ilhali wanajua vizuri kuwa ndani ya jela hakuna CCTV.”






