Kwa Wasio Mjua Baba Levo

Jina : Levocatus
Kuzaliwa : Kigoma
Jinsia : Kiume
Kazi : Influencer
Aliyemwezesha kupata ubunge : Diamond

(Baba)
levo ambaye amekuwa ni chawa wa Diamond _ hadi kuwa mbunge ni kwamba Diamond anayo nguvu kubwa sana ndani ya CCM (kwa sababu ya ushawishi wake kimziki) kiasi kwamba anachomeka watu mhimu kwenye power ili kumsaidia sio yeye pekee hata mazingira yake, ndio maana alianzisha kumpandisha Babu Tale Mbungeni na hivyo amekolea utamu na kufanya plan nyingine kumpandisha baba Levo hivyo, Baba levo ni mdori tu wa Diamond na sio mtumishi wa jamii ya watu wa Kigoma.

(Zile)
show off anazionesha kwa sasa, za kutegeneza meza mara magari ya harusi nawapeni hata miezi 3 haitaisha atahamia jingine na jingine na jingine.

READ Also  Serikali Ya Tanzania Yajibu Jumuiya Ya Mataifa

(Baba)
levo hakuanzia hapo, Baba levo ni mtu wa kutamani na kujaribu ila vitu havimalizi kamwe , kama mnakumbuka alipoona Cheka tu inafanya vizuri naye akaingia mzima mzima kuanzisha chek tu yake _ Alipoanza na alipoishia ni wapi ?

(Naona)
aibu kubwa kwa watu wa Kigoma kwa sababu hawajui Baba Levo ni mtu wa mihemko na watashanga kuona kabisa hadi mwaka unaisha hakuna atakacho kifanya cha maana hizi mbwembwe za mwanzo zisiwape pressure haichukui siku nyingi utaona amepotea na kusalia na jina la Mbunge wa Kigoma.

(Na)
atakuwa anakuja na matukio mapya afu yote hayamalizi, Achana na hizo za kugawa pikipiki zote zile ni mbwembwe zitaisha hakuna kitakachoendelea zaidi ya hapo.

READ Also  Rais Wa Tanzania Apanga Kuanzisha Mazungumzo Ya Maridhiano

(Ubunge)
aliopata hapo, ni yeye na familia yake ili aweze kufaulu kumalizia ghorofa ambalo alijega hela zote akawa anazimalizia kwenye kamali na casino_Kama hujui ni kwamba kazi ya ubunge ni hela basi jiulize kwanini watu wapo tayari kujifanya hawajui mauwaji yaliotokea lengo waendele kubaki madarakani! watu wanapiga hizi milioni 40 kama upepo wewe na maharangwe yako unakula umelala wao wanaoga mahela _kila anayeingia bungeni akitoka ni tajiri hujawahi kujua hilo ? kule watu wanapiga nchi kama hawana akili wakija majibuni kwao ni kuzuka hiyo kununua viboda boda 25 sio kazi yao ni pesa ya mboga afu anabaki kikubwa anatagwa miradi yake binafsi.

READ Also  Meet Raila’s personal medic, Dr. Oketch Salah

(Yamkini)
Tusufike huko tumbowe sana, ila simwoni kama ni kioo sahihi kwamba atabadilisha lolote katika maisha ya vijana wa kitanzania.Mhimu hili Bunge lote linafaha kuvunjwa sababu hakuna mtu aliyelipitisha hasa wananchi hawakuoata mandate ya kuchangua kihalali.

Related Posts

Saudi Arabia Today Just Taught Israel A Big Lesson It Won’t Forget

Saudi Arabia refused Israel’s request to send military planes (C-130J transports) to collect passengers after the Flydubai emergency landing in Tabuk. The two countries have no diplomatic relations. Passengers instead…

You Don’t Have To Like Someone To Respect Death

You don’t have to like someone to respect death. You don’t have to agree with how they lived to have compassion for those they left behind. Today it is Wicknell.…

You Missed

Saudi Arabia Today Just Taught Israel A Big Lesson It Won’t Forget

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 2 views
Saudi Arabia Today Just Taught Israel A Big Lesson It Won’t Forget

You Don’t Have To Like Someone To Respect Death

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 2 views
You Don’t Have To Like Someone To Respect Death

Russian Drone Strikes School In Kyiv As Children And Teachers Shelter Inside

  • By Milton
  • October 2, 2026
  • 2 views
Russian Drone Strikes School In Kyiv As Children And Teachers Shelter Inside

At Least 25 US Tankers Reportedly Gather at Al Udeid Amid Iran Tensions

  • By Milton
  • September 23, 2026
  • 5 views
At Least 25 US Tankers Reportedly Gather at Al Udeid Amid Iran Tensions

Trump Signs Greenland Security Deal, Expanding US Military Presence While Denmark Retains Sovereignty

  • By Milton
  • September 23, 2026
  • 5 views
Trump Signs Greenland Security Deal, Expanding US Military Presence While Denmark Retains Sovereignty

New Tanker Attacks in Strait of Hormuz Injure Two Crew Members

  • By Milton
  • September 22, 2026
  • 7 views
New Tanker Attacks in Strait of Hormuz Injure Two Crew Members