Rais Wa Tanzania Apanga Kuanzisha Mazungumzo Ya Maridhiano

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Emmanuel Nchinbi amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema itaanzisha mchakato wa mazungumzo ya maridhiano ili kuimarisha umoja, amani na mshikamano wa kitaifa.

Akizungumza kwa niaba ya Rais, Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya mtandao Dk. Nchimbi amesema serikali imejizatiti kuhakikisha Watanzania wanaendelea kuishi kwa utulivu na chini ya misingi ya utawala wa sheria.

“Ni dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha tunaanzisha mazungumzo ya maridhiano ili hata hao wachache wanapata nafasi ya kusikilizwa na kuwa na taifa lenye amani na utulivu,” amesema Dk Nchimbi akiwashukuru viongozi wa SADC.

READ Also  Serikali Ya Tanzania Yajibu Jumuiya Ya Mataifa

Related Posts

FIFA World Cup Draw, Game One Fixture

𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣 𝗔: 🇲🇽 Mexico🇰🇷 South Korea 𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣 𝗕: 🇨🇦 Canada🇨🇭 Switzerland 𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣 𝗖: 🇧🇷 Brazil 🇲🇦 Morocco 𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣 𝗗: 🇺🇸 United States🇦🇺 Australia 𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣 𝗘: 🇩🇪 Germany 🇪🇨 Ecuador 𝗚𝗥𝗢𝗨𝗣…

Serikali Ya Tanzania Yajibu Jumuiya Ya Mataifa

Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa imepokea na kuyazingatia matamko ya umma yaliyotolewa nyakati mbalimbali na Wadau wa maendeleo na Nchi Rafiki za Ubelgiji, Kanada, Denmark, Ujumbe wa Umoja wa Ulaya,…

You Missed

FIFA World Cup Draw, Game One Fixture

  • By Milton
  • December 6, 2025
  • 2 views
FIFA World Cup Draw, Game One Fixture

Serikali Ya Tanzania Yajibu Jumuiya Ya Mataifa

  • By Milton
  • December 6, 2025
  • 2 views
Serikali Ya Tanzania Yajibu Jumuiya Ya Mataifa

To Vaccinate Local Chicken Breeds (Kienyeji) or Not?

  • By Milton
  • December 5, 2025
  • 4 views
To Vaccinate Local Chicken Breeds (Kienyeji) or Not?

English Premier League Fixtures / Table

  • By Milton
  • December 5, 2025
  • 3 views
English Premier League Fixtures / Table

PART 1: Chilling Video of Man Who Dismembered Girlfriend and Allegedly Boiled Her Remains

  • By Milton
  • December 5, 2025
  • 5 views
PART 1: Chilling Video of Man Who Dismembered Girlfriend and Allegedly Boiled Her Remains

Former Prime Minister Raila Odinga Tops Google Searches In 2025

  • By Milton
  • December 4, 2025
  • 6 views
Former Prime Minister Raila Odinga Tops Google Searches In 2025