HABARI ZA HIVI PUNDE.
Hali ya huzuni imetanda katika soko ya lutaso baada ya kijana mmoja wa umri wa miaka Ishirini na tano kwa majina Grivas mauka mtoto wa Mukheo Nasokho kutoka kitongoji katika Cha Chekata ukielekea Lumani amepatikana kama amejitia kitanzi kwa nyumba za ijara (pangisha),Nduru za kuaminika zinasemekana kwamba marehemu amekuwa na ugomvi na mkewe SHARON kutoka Siaya nyakati za usiku,Chifu KELLY BARASA ( KUKA) amethibitisha kitendo hicho na kuonya vikali wakazi wa Bunyala mashariki Wasije kurudia kitendo kama hicho ambacho kinaleta aibu katika eneo lake,
Mwili wa mwendazake umechukuliwa na maafisa wa polisi kutoka kituo cha Navakholo huku uchunguzi ukifanyika.






