“Najua wewe uko fertile ushapea Dem wa Facebook mimba” Kimbikimbi Says
![](https://iyefsocial.com/wp-content/uploads/2024/07/1719981850839.jpg)
Kimbikimbi ~ Dem wa Facebook alikuwa Dem wangu tulikuwa tunapendana sana mpaka sahizi bado niko heartbroken!
Obinna type yako ni Amber Ray wachana na Kienyeji yangu!
Najua wewe uko fertile ushapea Dem wa Facebook mimba! Obinna ntakuendea kitui kwa mganga!
Before nikuchukuwe bwana yako alikuwa mwizi wa kuku!
Dem wa Facebook ~ Kimbikimbi wewe ni kunguni; nilikuhurumia ndiyo sababu nilikupenda.
Obinna anavaa miwani sababu mapenzi yangu imemmaliza sight!
Ushaiona mtu wa Kibera amevaa miwani?
Watu wote wa Jacaranda wananitaka na mimi siwataki mpaka wananiendea maandamano!
Kimbikimbi wewe ni sura mbaya! Nguvu za giza!
Nani anafaa akuwe na Dem wa Facebook kati ya Kimbikimbi na Obinna😂😂😂😂?