RIP: “Mtoto Alingoja Mamake Nyumbani Kumbe Alikua Amepigwa Risàsi Sokoni”

0

MTOTO ALINGOJA MAMAKE LAKINI WAPI. ALIKUA ANAFUNGA BIASHARA YAKE AKAPIGWA RISASI. Mama Robbie baada ya kuwa kwa biashara yake the whole day hapo jana aliamua masaa ilikua imefika afunge biashara yake ya kuuza aende home. Little did she knew alikua apigwe. Kidogo hivi askari walikuja wakitoa watu waende home. Bahati mbaya alipigwa risasi na kuaga hapo hapo. Mtoto wake alimgonja home kama kawaida lakini wapi ndo akakuja kuambiwa mama aliaga. So sad may God take give the kid and the family comfort and may her soul Rest in Peace. Pole sana

Also Read  Update: KMPDU Suspends The Occupy MOH Protest

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *