“Kama Uko Na Mtoto Wa Fred Omondi, Mlete Uncle Eric Atalea”

0

Terence Creative aliacha wengi na vicheko kule Chiromo walipokuwa kuutoa mwili wa Fred Omondi ili kuupeleka Kisumu. Katika hotuba yake fupi, Terence alisema kuwa hawataki jina la Fred liwe chafu maana ashakufa.

Alisema kuwa yeyote ambaye ako na mtoto wa mwendazake Fred, asiogope bali ajitokeze na kupeleka mtoto kwa Eric Omondi naye atamlea.

Also Read  Top 10 Richest Musician In Africa 2024

Eric alipoulizwa kama hiyo iko sawa, alisimama na kusema kuwa tayari watoto wawili wameletwa na amewakubali.

Uncle Eric yupo tayari kulea watoto wa Fred 👍

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *