Vitu ambavyo zinaua mapenzi😭💔
1.. Late replies (Majibu ya kuchelewa)
2.. Lack of communication (Kutokuwasiliana)
3..Kutokuaminiana
4.. Cheating (Udanganyifu)😡
5..Tamaa😜🤪
6..Uvivu🤭
7..Kubania mwenzako Kwa sana(kutompa haki yake 🍆🍑😀
8..Madharau ndogo ndogo😔
9..Kusikiliza maneno ya watu😔 Even though sometimes sio mbaya inaweza kuokoa but sio Sana🤭
10..Uchoyo😡… Haswa wanawake eti mnasema “pesa yangu ni yangu ya bwana ni yetu”🙆🤣

Also Read  If you are cheating on your spouse whether you are a man or woman, I want to ask you just one question

Hii pia mnanipa marks ngapi out of 100%? 🙄🤣

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *