Sad News As Prince Indah’s Bouncer Die In A Road Accident

0

UNCONFIRMED REPORTS

Prince Indah’s Bouncer died this morning in an accident that happened in Kisii where the Ohangla King was performing.

Prince Indah jana alikuwa huko Choma Choma Lounge Kisii akiperfom na alipomaliza leo asubuhi alikuwa anatoka na ajali ikatokea baada ya lori la matunda kukosa breki na kuangukia gari kadhaa.

Dereva wa lori hilo pamoja na mlinzi huyo wa Msanii Prince Indah ni kati ya watu tisa walioaga kwenye ajali hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *