“Tulimzika hapa ndani kwa compound ila kuamka asubuhi tulipata kaburi liko open, hakuna mwili ni nguo tu

0

“Tulimzika hapa ndani kwa compound ila kuamka asubuhi tulipata kaburi liko open, hakuna mwili ni nguo tu 😭”

Origi kutoka Kaunti ya Siaya anaelezea tukio la mshangao nyumbani kwake.
Origi alibarikiwa na mtoto wa kiume, ila Bahati mbaya, mtoto akaaga siku moja tu baada ya kuzaliwa.
Ilibidi amzike na siku kumi baadae, tuko la mshangao lilitokea ambapo waliamka na kupata kaburi liko wazi na hakuna remains za mtoto.

Also Read  List Of Areas That Will Be Affected By Planned Power Interruptions Today

Origi anaeleza kuwa walikuwa wameanza kusahau kifo cha mtoti wao ila tukio hili, limefufua machozi tena na kumfanya kuona kifo cha mwanae hakikuwa cha kawaida.

Pole sana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *