“Sasa nilikua nimezoea time anatoka job nachungulia Kwa hizo tushimo”, My First Time To Live In Nairobi

0

My first time kwenda town nili rent kanyumba ka mabati alafu hizo mabati zilikua na tushimo na mimi sikua na cartein na mabox ikabidi nikae Tu hivyo Sasa kuna huyu neighbor alikua next to me, na pia yeye hakua ameweka certain Kwa wall 😒😹, mlembo Mali safi uwee 🤣 tena my age, nikama pia yeye alikua anaanza maisha kaa mm Sasa nilikua nimezoea time anatoka job nachungulia Kwa hizo tushimo, namuona 😁 👙🐒😹.. Sa Siku moja bahati mbaya nikienda kuchungulia, pia yeye kumbe alikua anakuja kunichungulia Kwangu Sema kupatana na tumacho👁️👀.. Niki imagine alikua ananichungulia na vile nilikua napenda kuka (ndethe) Yani kinui kwa nyumba 😴🙀😹 Nilikua nasikia anatoka nje najifungia Kwa hao buana 🫣😹😂… Mwishoe nilibebanga kamatress kangu na gunia nikarudi 🥺🙄 happy Sunday yall ♥️ 😂😂😂😂😂🙆🙆🙆💔💔🙆
Kindly share

Also Read  Photos: Uhuru Park Full To Capacity As Gen Z Attends A Memorial Concert

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *