The woman alioshea watu nguo hadi mtoto ameingia KDF. You can see the guy is humble and disciplined. Shida utokea wakipata pesa,yenye hawajashika tangu wazaliwe. Salary 75k,uko ndani beer ni cheap. 4 years from now,unapata mtu ako na 10 girlfriends na anawalipia rent na kutuma 5k urgently kwa kila mmoja. Pombe nayo anakunywa daily.

Also Read  Meet 18 Years Old University Student Who Has Joined Homeboyz Radio

Saa hiyo mzazi ameshahaulika. Jamaa akiombwa pesa na mzazi anakasirika yet he can afford to finance the lifestyle of several women and go parting. Home hakuna hata nyumba,chakula pia hakuna. He will waste 20 years and by the time anashtuka, he is 50 years old.

Also Read  Congratulations: Meet A KDF Officer Who Was Visited By His Home Today


Many people who come from humble background wakishika pesa hubadilika hutajua ni wale watu walikuwa disciplined. Pesa reveals the true character of poor people.
As the parent releases him to the world amuombee pia akuwe responsible.