THIS IS SOO SAD from Maji mazuri in Eldama Ravine constituency baringo county.

Juzi,Wambui alikua anavunja Kuni mahali, suddenly akapatikana na forest guards brayo na korir na wakamuweka pingu and they requested her awapee doh,,so Wambui hakua nazo alikua ameacha home na akapigia mwanawe mwangi amletee ili awaachiliwe,,Mwangi alifikisha doh na he was questioning the guards mbona wanaharrass mamake..hapo ndo vita ilianza na wakapiga Mwangi vibaya sana such that he was unconscious.yaani amepigwa hadi they were seeking further medication moi teaching and referral..Mwangi is a student na sidhani kama mtu ako na utu anaweza piga mtoto hivi.
Forest guards we were respecting you but mmekuja sanaa,you’ve been beating mama zetu huko msitu na tunawanyamazia,,kwani mlikua mmetumwa mkuje mtuumize..we are very peaceful but on this hapa lazima tupambane na nyinyi…
JUSTICE FOR MWANGI

Also Read  Current Flood Situation In Kenya

Shared as received