“Mwanaume Stingy Atakulea Vizuri”, Diana Dee Reveals
“Mwanaume stingy atakulea vizuri,” a lady called Diana Dee says, urges women to embrace stingy men for marriage.
“Hawa wanaume wa kutoboka ujue hakutobokeangi peke yake. Najua hakuna mwanamke hutaka mwanaume mstingy kwa maisha yake, lakini wale wa kutoboka wengi wanacheat. Familia za wanaume stingy huwa zimesimama,” she claimed.
Photos: Diana Dee (TikTok)